JYN Limited ni kampuni ya usambazaji wa bidhaa za ujenzi yenye lengo la kurahisisha upatikanaji wa vifaa bora kwa bei nafuu. Tunauza bidhaa mbalimbali zinazohitajika kwenye miradi ya ujenzi wa nyumba, biashara, na viwanda.
Bidhaa zetu kuu ni:
Mabati aina zote
Misumari ya ukubwa tofauti
Nondo
Saruji
Vifaa vingine muhimu vya ujenzi
Tunafanya kazi kuhakikisha mteja anapata huduma ya haraka, bidhaa za ubora wa juu, na ushauri wa kitaalamu wa kuchagua vifaa vinavyofaa kwa mradi wake.
ni mtoa huduma wa vifaa vya ujenzi vyenye ubora na bei nafuu. Tunatoa mabati aina zote, misumari, nondo, saruji na vifaa vingine vya msingi, huku tukihakikisha wateja wanapata huduma ya haraka na ya kuaminika.
Kwa nini uchague JYN Limited: